Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 118 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿فَوَقَعَ ٱلۡحَقُّ وَبَطَلَ مَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ﴾
[الأعرَاف: 118]
﴿فوقع الحق وبطل ما كانوا يعملون﴾ [الأعرَاف: 118]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo haki ikajitokeza na ikafunuka kwa aliyehudhuria na kuiona kuhusu mambo ya Mūsā, amani imshukie, na kuwa yeye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, analingania haki, na ukabatilika urongo waliokuwa wakiufanya |