×

Akasema Firauni: Mmemuamini kabla sijakupeni idhini? Hizi ni njama mlizo panga mjini 7:123 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:123) ayat 123 in Swahili

7:123 Surah Al-A‘raf ayat 123 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 123 - الأعرَاف - Page - Juz 9

﴿قَالَ فِرۡعَوۡنُ ءَامَنتُم بِهِۦ قَبۡلَ أَنۡ ءَاذَنَ لَكُمۡۖ إِنَّ هَٰذَا لَمَكۡرٞ مَّكَرۡتُمُوهُ فِي ٱلۡمَدِينَةِ لِتُخۡرِجُواْ مِنۡهَآ أَهۡلَهَاۖ فَسَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ﴾
[الأعرَاف: 123]

Akasema Firauni: Mmemuamini kabla sijakupeni idhini? Hizi ni njama mlizo panga mjini mpate kuwatoa wenyewe. Lakini karibu mtajua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال فرعون آمنتم به قبل أن آذن لكم إن هذا لمكر مكرتموه, باللغة السواحيلية

﴿قال فرعون آمنتم به قبل أن آذن لكم إن هذا لمكر مكرتموه﴾ [الأعرَاف: 123]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Fir'awn akasema kuwaambia wachawi, «Mumemuamini Mwenyezi Mungu kabla sijawapa idhini mumuamini? Hakika kumuamini kwenu Mwenyezi Mungu, kumsadiki kwenu Mūsā na kuukubali kwenu unabii wake ni hila mlizozipanga nyinyi na Mūsā ili muwatoe watu wa mji wenu kutoka humo, na ili muzivamie heri zake na mufaidike nazo peke yenu.Basi mtajua, enyi wachawi, adhabu na mateso yatakayowashukia nyinyi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek