×

Akasema: Basi teremka kutoka humo! Haikufalii kufanya kiburi humo. Basi toka! Hakika 7:13 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:13) ayat 13 in Swahili

7:13 Surah Al-A‘raf ayat 13 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 13 - الأعرَاف - Page - Juz 8

﴿قَالَ فَٱهۡبِطۡ مِنۡهَا فَمَا يَكُونُ لَكَ أَن تَتَكَبَّرَ فِيهَا فَٱخۡرُجۡ إِنَّكَ مِنَ ٱلصَّٰغِرِينَ ﴾
[الأعرَاف: 13]

Akasema: Basi teremka kutoka humo! Haikufalii kufanya kiburi humo. Basi toka! Hakika wewe u miongoni mwa walio duni

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال فاهبط منها فما يكون لك أن تتكبر فيها فاخرج إنك من, باللغة السواحيلية

﴿قال فاهبط منها فما يكون لك أن تتكبر فيها فاخرج إنك من﴾ [الأعرَاف: 13]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu Akasema kumwambia Iblisi, «Shuka kutoka Peponi, kwani haifai kwako kufanya ujeuri humo; toka Peponi, kwani wewe ni miongoni mwa wanyonge waliyo watwevu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek