Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 183 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿وَأُمۡلِي لَهُمۡۚ إِنَّ كَيۡدِي مَتِينٌ ﴾
[الأعرَاف: 183]
﴿وأملي لهم إن كيدي متين﴾ [الأعرَاف: 183]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na nitawapa muhula hawa ambao walizikanusha aya zetu mpaka wadhanie kwamba wao hawatateswa, waongeze ukafiri na uasi. Na kwa hivyo, waongezewe adhabu. Kwani vitimbi vyangu ni vigumu, yaani: ni vya nguvu na vikali havizuiliwi kwa nguvu wala kwa hila |