×

Je, hawafikiri? Huyu mwenzao hana wazimu. Hakuwa yeye ila ni mwonyaji aliye 7:184 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:184) ayat 184 in Swahili

7:184 Surah Al-A‘raf ayat 184 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 184 - الأعرَاف - Page - Juz 9

﴿أَوَلَمۡ يَتَفَكَّرُواْۗ مَا بِصَاحِبِهِم مِّن جِنَّةٍۚ إِنۡ هُوَ إِلَّا نَذِيرٞ مُّبِينٌ ﴾
[الأعرَاف: 184]

Je, hawafikiri? Huyu mwenzao hana wazimu. Hakuwa yeye ila ni mwonyaji aliye dhaahiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أو لم يتفكروا ما بصاحبهم من جنة إن هو إلا نذير مبين, باللغة السواحيلية

﴿أو لم يتفكروا ما بصاحبهم من جنة إن هو إلا نذير مبين﴾ [الأعرَاف: 184]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kwani hawafikirii hawa ambao walizikanusha aya zetu wakazingatia kwa akili zao na wakajua kwamba Muhammad hana wazimu? Yeye hakuwa isipokuwa ni mwenye kuwaonya wao mateso ya Mwenyezi Mungu kwa kumkanusha kwao Yeye, iwapo hawataamini, na ni mshauri muaminifu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek