Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 25 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿قَالَ فِيهَا تَحۡيَوۡنَ وَفِيهَا تَمُوتُونَ وَمِنۡهَا تُخۡرَجُونَ ﴾
[الأعرَاف: 25]
﴿قال فيها تحيون وفيها تموتون ومنها تخرجون﴾ [الأعرَاف: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mngu, Aliyetukuka, Akasema kumwambia Ādam, Ḥawwā’ na kizazi chao, «Huko ardhini mtaishi, yaani mtapitisha siku za uhai wenu duniani, na huko kitakuwa kifo chenu, na kutoka huko Mola wenu atawatoa na awakusanye mkiwa hai Siku ya Ufufuzi.» |