Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 6 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿فَلَنَسۡـَٔلَنَّ ٱلَّذِينَ أُرۡسِلَ إِلَيۡهِمۡ وَلَنَسۡـَٔلَنَّ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ﴾
[الأعرَاف: 6]
﴿فلنسألن الذين أرسل إليهم ولنسألن المرسلين﴾ [الأعرَاف: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi tutawauliza, tena tutawauliza, wale watu waliopelekewa Mitume, «Mliwajibu vipi Mitume wetu?» Na tutawauliza, tene tutawauliza, wale Mitume kuhusu kuufikisha kwao ujumbe wa Mola wao na namna walivyojibiwa na wale watu waliotumwa kwao |