Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 7 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿فَلَنَقُصَّنَّ عَلَيۡهِم بِعِلۡمٖۖ وَمَا كُنَّا غَآئِبِينَ ﴾
[الأعرَاف: 7]
﴿فلنقصن عليهم بعلم وما كنا غائبين﴾ [الأعرَاف: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tutawaelezea, tena tutawaelezea, viumbe wote yale waliyoyatenda, kutokana na ujuzi wetu wa vitendo vyao ulimwenguni katika yale tuliyowaamrisha na tuliyowakataza. Na wala hatukwa mbali na wao katika hali yoyote ile |