Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 60 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿قَالَ ٱلۡمَلَأُ مِن قَوۡمِهِۦٓ إِنَّا لَنَرَىٰكَ فِي ضَلَٰلٖ مُّبِينٖ ﴾
[الأعرَاف: 60]
﴿قال الملأ من قومه إنا لنراك في ضلال مبين﴾ [الأعرَاف: 60]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mabwana wao na wakubwa wao walisema, «Sisi tunaitakidi, ewe Nūḥ, wewe uko kwenye upotevu waziwazi uko kando ya njia sawa.» |