Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 76 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿قَالَ ٱلَّذِينَ ٱسۡتَكۡبَرُوٓاْ إِنَّا بِٱلَّذِيٓ ءَامَنتُم بِهِۦ كَٰفِرُونَ ﴾
[الأعرَاف: 76]
﴿قال الذين استكبروا إنا بالذي آمنتم به كافرون﴾ [الأعرَاف: 76]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakasema wale waliojiona, «Sisi ni wenye kuyakanusha hayo mliyoyaamini nyinyi na kuyafuata kuhusu unabii wa Ṣāliḥ.” |