×

Au watu wa mijini wameaminisha ya kuwa adhabu yetu haitawafika mchana, nao 7:98 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:98) ayat 98 in Swahili

7:98 Surah Al-A‘raf ayat 98 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 98 - الأعرَاف - Page - Juz 9

﴿أَوَأَمِنَ أَهۡلُ ٱلۡقُرَىٰٓ أَن يَأۡتِيَهُم بَأۡسُنَا ضُحٗى وَهُمۡ يَلۡعَبُونَ ﴾
[الأعرَاف: 98]

Au watu wa mijini wameaminisha ya kuwa adhabu yetu haitawafika mchana, nao wanacheza

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أو أمن أهل القرى أن يأتيهم بأسنا ضحى وهم يلعبون, باللغة السواحيلية

﴿أو أمن أهل القرى أن يأتيهم بأسنا ضحى وهم يلعبون﴾ [الأعرَاف: 98]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Au kwani wanajiaminisha watu wa mijini kuwa wamesalimika na adhabu ya Mwenyezi Mungu kuwa haitawafika kipindi cha mchana wakiwa wameghafilika, wameshughulika na mambo ya dunia yao? Mwenyezi Mungu Amezihusu nyakati mbili hizi kwa kuzitaja, kwa kuwa mwanadamu nyakati hizi huwa wameghafilika zaidi, kwa hivyo kuja adhabu katika nyakati hizi huwa na kitisho zaidi na ni kali zaidi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek