Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 18 - المَعَارج - Page - Juz 29
﴿وَجَمَعَ فَأَوۡعَىٰٓ ﴾
[المَعَارج: 18]
﴿وجمع فأوعى﴾ [المَعَارج: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na akakusanya mali na kuyaweka kwenye mahazina yake na asitekeleze amri ya Mwenyezi Mungu kwenye mali hayo |