Quran with Swahili translation - Surah Nuh ayat 9 - نُوح - Page - Juz 29
﴿ثُمَّ إِنِّيٓ أَعۡلَنتُ لَهُمۡ وَأَسۡرَرۡتُ لَهُمۡ إِسۡرَارٗا ﴾
[نُوح: 9]
﴿ثم إني أعلنت لهم وأسررت لهم إسرارا﴾ [نُوح: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha nikawatangazia wao ulinganizi kwa sauti kubwa wakati mwingine, na nikausirisha huo ulinganizi kwa sauti ya chini wakati mwingine |