Quran with Swahili translation - Surah Nuh ayat 14 - نُوح - Page - Juz 29
﴿وَقَدۡ خَلَقَكُمۡ أَطۡوَارًا ﴾
[نُوح: 14]
﴿وقد خلقكم أطوارا﴾ [نُوح: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na hali yeye Amewaumba nyinyi katika miongo yenye kufuatana : tone la manii, kisha pande la damu, kisha nofu la nyama, kisha mifupa na nyama |