Quran with Swahili translation - Surah Nuh ayat 16 - نُوح - Page - Juz 29
﴿وَجَعَلَ ٱلۡقَمَرَ فِيهِنَّ نُورٗا وَجَعَلَ ٱلشَّمۡسَ سِرَاجٗا ﴾
[نُوح: 16]
﴿وجعل القمر فيهن نورا وجعل الشمس سراجا﴾ [نُوح: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akajaalia mwezi, katika mbigu hizi, ni wenye mwangaza,, na Akajaalia jua ni taa yenye kung’ara ili kuwapatia mwangaza watu walioko ardhini |