Quran with Swahili translation - Surah Nuh ayat 21 - نُوح - Page - Juz 29
﴿قَالَ نُوحٞ رَّبِّ إِنَّهُمۡ عَصَوۡنِي وَٱتَّبَعُواْ مَن لَّمۡ يَزِدۡهُ مَالُهُۥ وَوَلَدُهُۥٓ إِلَّا خَسَارٗا ﴾
[نُوح: 21]
﴿قال نوح رب إنهم عصوني واتبعوا من لم يزده ماله وولده إلا﴾ [نُوح: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nūḥ alisema, «Mola wangu! Kwa hakika watu wangu wameendelea sana kuniasi na kunikanusha, na wanyonge miongoni mwao wakawafuata viongozi wapotevu ambao mali yao na watoto wao havikuwaongezea isipokuwa upotevu wa duniani na mateso ya Akhera |