Quran with Swahili translation - Surah Nuh ayat 26 - نُوح - Page - Juz 29
﴿وَقَالَ نُوحٞ رَّبِّ لَا تَذَرۡ عَلَى ٱلۡأَرۡضِ مِنَ ٱلۡكَٰفِرِينَ دَيَّارًا ﴾
[نُوح: 26]
﴿وقال نوح رب لا تذر على الأرض من الكافرين ديارا﴾ [نُوح: 26]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na akasema Nūḥ, amani imshukie, baada ya kukata tama na watu wake, «Mola wangu! Usimuache yoyote miongoni mwa wale wanaokukanusha kuwa ni mwenye kuishi juu ardhi akizunguka na kutembea |