×

Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu, wala sitapata pa 72:22 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jinn ⮕ (72:22) ayat 22 in Swahili

72:22 Surah Al-Jinn ayat 22 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 22 - الجِن - Page - Juz 29

﴿قُلۡ إِنِّي لَن يُجِيرَنِي مِنَ ٱللَّهِ أَحَدٞ وَلَنۡ أَجِدَ مِن دُونِهِۦ مُلۡتَحَدًا ﴾
[الجِن: 22]

Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu, wala sitapata pa kukimbilia isipo kuwa kwake Yeye tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قل إني لن يجيرني من الله أحد ولن أجد من دونه ملتحدا, باللغة السواحيلية

﴿قل إني لن يجيرني من الله أحد ولن أجد من دونه ملتحدا﴾ [الجِن: 22]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sema, «Hakika mimi sina yoyote wa kuniokoa na adhabu ya Mwenyezi Mungu iwapo nitamuasi, na sitapata asiyekuwa Yeye mahali pa kukimbilia niepukane na adhabu Yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek