Quran with Swahili translation - Surah Al-Muddaththir ayat 17 - المُدثر - Page - Juz 29
﴿سَأُرۡهِقُهُۥ صَعُودًا ﴾
[المُدثر: 17]
﴿سأرهقه صعودا﴾ [المُدثر: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nitambebesha mateso magumu na usumbufu usio na mapumziko. Anayekusudiwa hapa ni Al-Walid mwana wa Al-Mughi rah aliyekuwa akishindana na haki na akijitokeza kupigana vita na Mwenyezi Mungu na Mtume Wake. Haya ndiyo malipo ya kila mwenye kushindana na haki na kuipiga vita |