Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 12 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿وَجَزَىٰهُم بِمَا صَبَرُواْ جَنَّةٗ وَحَرِيرٗا ﴾
[الإنسَان: 12]
﴿وجزاهم بما صبروا جنة وحريرا﴾ [الإنسَان: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na Atawalipa, kwa kuvumilia kwao duniani juu ya utiifu, Pepo iliyo kubwa ambayo kutoka humo watakula wanachokitaka na watavaa humo hariri nyororo |