Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 13 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿مُّتَّكِـِٔينَ فِيهَا عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِۖ لَا يَرَوۡنَ فِيهَا شَمۡسٗا وَلَا زَمۡهَرِيرٗا ﴾
[الإنسَان: 13]
﴿متكئين فيها على الأرائك لا يرون فيها شمسا ولا زمهريرا﴾ [الإنسَان: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr hali ya kuwa wametegemea juu ya vitanda vilivyopambwa kwa nguo na pazia za fahari. Hawataona humo joto la jua wala ukali wa baridi |