Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 5 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿إِنَّ ٱلۡأَبۡرَارَ يَشۡرَبُونَ مِن كَأۡسٖ كَانَ مِزَاجُهَا كَافُورًا ﴾
[الإنسَان: 5]
﴿إن الأبرار يشربون من كأس كان مزاجها كافورا﴾ [الإنسَان: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika watu wa utiifu na ukweli wa Imani wanaotekeleza haki za Mwenyezi Mungu, watakunywa, Siku ya Kiyama, kutoka kwenye kikombe ambacho ndani yake mna Pombe lililochanganywa na aina bora kabisa ya harufu nzuri, nayo ni maji ya kafuri |