Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 4 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿إِنَّآ أَعۡتَدۡنَا لِلۡكَٰفِرِينَ سَلَٰسِلَاْ وَأَغۡلَٰلٗا وَسَعِيرًا ﴾
[الإنسَان: 4]
﴿إنا أعتدنا للكافرين سلاسل وأغلالا وسعيرا﴾ [الإنسَان: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi Tumewaandalia wakanushaji pingu za chuma za kuifunga miguu yao na minyororo ya kufungiwa mikono yao hadi shingo zao na moto ambao watachomwa nao |