Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 6 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿عَيۡنٗا يَشۡرَبُ بِهَا عِبَادُ ٱللَّهِ يُفَجِّرُونَهَا تَفۡجِيرٗا ﴾
[الإنسَان: 6]
﴿عينا يشرب بها عباد الله يفجرونها تفجيرا﴾ [الإنسَان: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kinywaji hiki kilichochanganywa na kafuri, ni chemchemi wanayokunywa waja wa Mwenyezi Mungu, wanaitumia na kuipitisha wanavyotaka mapitisho mazuri |