Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 41 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي ظِلَٰلٖ وَعُيُونٖ ﴾
[المُرسَلات: 41]
﴿إن المتقين في ظلال وعيون﴾ [المُرسَلات: 41]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika ya wale waliomuogopa Mola wao duniani na wakaiogopa adhabu Yake kwa kufuata amri Zake na kujiepusha na makatazo Yake. Wao Siku ya Kiyama watakuwa kwenye vivuli vya miti vilivyonyoka, na chemchemi za maji zinazotembea |