×

Kama Mola wako Mlezi alivyo kutoa nyumbani kwako kwa Haki, na hakika 8:5 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:5) ayat 5 in Swahili

8:5 Surah Al-Anfal ayat 5 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 5 - الأنفَال - Page - Juz 9

﴿كَمَآ أَخۡرَجَكَ رَبُّكَ مِنۢ بَيۡتِكَ بِٱلۡحَقِّ وَإِنَّ فَرِيقٗا مِّنَ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ لَكَٰرِهُونَ ﴾
[الأنفَال: 5]

Kama Mola wako Mlezi alivyo kutoa nyumbani kwako kwa Haki, na hakika kundi moja la Waumini linachukia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: كما أخرجك ربك من بيتك بالحق وإن فريقا من المؤمنين لكارهون, باللغة السواحيلية

﴿كما أخرجك ربك من بيتك بالحق وإن فريقا من المؤمنين لكارهون﴾ [الأنفَال: 5]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kama mlivyotafautiana juu ya ugawaji wa ngawira, na Mwenyezi Mungu Akauondoa kwenu na Akauweka kwa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, rehema na amani zimshukiye, hivyo ndivyo Mola wako Alivyokuamrisha utoke Madina uende kupambana na msafara wa Makureshi kwa wahyi aliyokujia nao Jibrili, pamoja na kuwa kundi miongoni mwa Waumini walichukia kutoka
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek