×

Na wakielekea amani nawe pia elekea, na mtegemee Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye 8:61 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:61) ayat 61 in Swahili

8:61 Surah Al-Anfal ayat 61 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 61 - الأنفَال - Page - Juz 10

﴿۞ وَإِن جَنَحُواْ لِلسَّلۡمِ فَٱجۡنَحۡ لَهَا وَتَوَكَّلۡ عَلَى ٱللَّهِۚ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلسَّمِيعُ ٱلۡعَلِيمُ ﴾
[الأنفَال: 61]

Na wakielekea amani nawe pia elekea, na mtegemee Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye ndiye Mwenye kusikia Mwenye kujua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإن جنحوا للسلم فاجنح لها وتوكل على الله إنه هو السميع العليم, باللغة السواحيلية

﴿وإن جنحوا للسلم فاجنح لها وتوكل على الله إنه هو السميع العليم﴾ [الأنفَال: 61]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wakielekea kuacha vita na wakapendelea kuishi kwa amani na nyinyi, basi nawe elekea huko, ewe Nabii, na uyategemeze mambo yako kwa Mwenyezi Mungu na uwe na imani na Yeye. Hakika Yeye Ndiye Mwenye kuyasikia maneno yao, Mwenye kuzijua nia zao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek