×

Basi kuleni katika mlivyo teka, ni halali na vizuri, na mcheni Mwenyezi 8:69 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:69) ayat 69 in Swahili

8:69 Surah Al-Anfal ayat 69 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 69 - الأنفَال - Page - Juz 10

﴿فَكُلُواْ مِمَّا غَنِمۡتُمۡ حَلَٰلٗا طَيِّبٗاۚ وَٱتَّقُواْ ٱللَّهَۚ إِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ ﴾
[الأنفَال: 69]

Basi kuleni katika mlivyo teka, ni halali na vizuri, na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فكلوا مما غنمتم حلالا طيبا واتقوا الله إن الله غفور رحيم, باللغة السواحيلية

﴿فكلوا مما غنمتم حلالا طيبا واتقوا الله إن الله غفور رحيم﴾ [الأنفَال: 69]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Basi kuleni mlichokipata katika ngawira na fidia ya mateka, kwani hiyo ni halali nzuri. Na jilazimisheni na hukumu za Mwenyezi Mungu na sheria Zake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa msamaha kwa waja Wake, ni Mwenye huruma nao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek