Quran with Swahili translation - Surah Al-InfiTar ayat 9 - الانفِطَار - Page - Juz 30
﴿كـَلَّا بَلۡ تُكَذِّبُونَ بِٱلدِّينِ ﴾
[الانفِطَار: 9]
﴿كلا بل تكذبون بالدين﴾ [الانفِطَار: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mambo hayako kama vile mnavyosema kwamba nyinyi mna haki ya kumuabudu asiyekuwa Mwenyezi Mungu. Bali nyinyi mnaikanusha Siku ya Hesabu na Malipo |