Quran with Swahili translation - Surah Al-MuTaffifin ayat 15 - المُطَففين - Page - Juz 30
﴿كـَلَّآ إِنَّهُمۡ عَن رَّبِّهِمۡ يَوۡمَئِذٖ لَّمَحۡجُوبُونَ ﴾
[المُطَففين: 15]
﴿كلا إنهم عن ربهم يومئذ لمحجوبون﴾ [المُطَففين: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hakika zimezibwa nyoyo zao zikawa hazimkubali Mwenyezi Mungu. Na kile kilichoziziba nyoyo hizo ni kufinikwa na wingi wa madhambi wanayoyafanya. Mambo hayako kama vile wanavyodai makafiri! Bali hakika wao, Siku ya Kiyama watazibwa wasimuone Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kushinda. Aya hii ni ushahidi kwamba Waumini watamuona Mola Wao Peponi |