Quran with Swahili translation - Surah Al-Fajr ayat 27 - الفَجر - Page - Juz 30
﴿يَٰٓأَيَّتُهَا ٱلنَّفۡسُ ٱلۡمُطۡمَئِنَّةُ ﴾
[الفَجر: 27]
﴿ياأيتها النفس المطمئنة﴾ [الفَجر: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ewe nafsi iliyotulia kwa kumtaja Mwenyezi Mungu, kumwamini Yeye na kuamini starehe ya Pepo Aliyowaandalia waumini |