Quran with Swahili translation - Surah Al-Fajr ayat 28 - الفَجر - Page - Juz 30
﴿ٱرۡجِعِيٓ إِلَىٰ رَبِّكِ رَاضِيَةٗ مَّرۡضِيَّةٗ ﴾
[الفَجر: 28]
﴿ارجعي إلى ربك راضية مرضية﴾ [الفَجر: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Rudi kwa Mola wako hali ya kuridhika na takrima ya Mwenyezi Mungu kwako na hali ya kuwa Mwenyezi Mungu Ameridhika na wewe |