Quran with Swahili translation - Surah At-Taubah ayat 1 - التوبَة - Page - Juz 10
﴿بَرَآءَةٞ مِّنَ ٱللَّهِ وَرَسُولِهِۦٓ إِلَى ٱلَّذِينَ عَٰهَدتُّم مِّنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ ﴾
[التوبَة: 1]
﴿براءة من الله ورسوله إلى الذين عاهدتم من المشركين﴾ [التوبَة: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hili ni elezo la kujiepusha litokalo kwa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na ni tangazo la kuachana kabisa na makubaliano yaliyokuwako kati ya Waislamu na Washirikina |