Quran with Swahili translation - Surah At-Taubah ayat 10 - التوبَة - Page - Juz 10
﴿لَا يَرۡقُبُونَ فِي مُؤۡمِنٍ إِلّٗا وَلَا ذِمَّةٗۚ وَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡمُعۡتَدُونَ ﴾
[التوبَة: 10]
﴿لا يرقبون في مؤمن إلا ولا ذمة وأولئك هم المعتدون﴾ [التوبَة: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Washirikina hawa wako kwenye vita dhidi ya Imani na watu wake, hawauekei uzito wowote ujamaa wa Muumini wala mapatano yake; walilonalo wao ni uadui na udhalimu |