Quran with Swahili translation - Surah At-Taubah ayat 27 - التوبَة - Page - Juz 10
﴿ثُمَّ يَتُوبُ ٱللَّهُ مِنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ عَلَىٰ مَن يَشَآءُۗ وَٱللَّهُ غَفُورٞ رَّحِيمٞ ﴾
[التوبَة: 27]
﴿ثم يتوب الله من بعد ذلك على من يشاء والله غفور رحيم﴾ [التوبَة: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na atakayerudi nyuma akaacha ukafiri wake baada ya hilo, na akaingia kwenye Uislamu, basi Mwenyezi Mungu Anaikubali toba ya Anayemtaka katika wao na Anamsamehe dhambi zake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe, ni mwingi wa kurehemu |