Quran with Swahili translation - Surah At-Taubah ayat 76 - التوبَة - Page - Juz 10
﴿فَلَمَّآ ءَاتَىٰهُم مِّن فَضۡلِهِۦ بَخِلُواْ بِهِۦ وَتَوَلَّواْ وَّهُم مُّعۡرِضُونَ ﴾
[التوبَة: 76]
﴿فلما آتاهم من فضله بخلوا به وتولوا وهم معرضون﴾ [التوبَة: 76]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Alipowapa Mwenyezi Mungu kutokana na hisani yake, walifanya ubakhili kutoa sadaka na kutumia mali katika wema, na waligeuka nyuma hali ya kuupa mgongo Uislamu |