×

Mwenyezi Mungu amewatengenezea Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Huko ndiko 9:89 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah At-Taubah ⮕ (9:89) ayat 89 in Swahili

9:89 Surah At-Taubah ayat 89 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah At-Taubah ayat 89 - التوبَة - Page - Juz 10

﴿أَعَدَّ ٱللَّهُ لَهُمۡ جَنَّٰتٖ تَجۡرِي مِن تَحۡتِهَا ٱلۡأَنۡهَٰرُ خَٰلِدِينَ فِيهَاۚ ذَٰلِكَ ٱلۡفَوۡزُ ٱلۡعَظِيمُ ﴾
[التوبَة: 89]

Mwenyezi Mungu amewatengenezea Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Huko ndiko kufuzu kukubwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أعد الله لهم جنات تجري من تحتها الأنهار خالدين فيها ذلك الفوز, باللغة السواحيلية

﴿أعد الله لهم جنات تجري من تحتها الأنهار خالدين فيها ذلك الفوز﴾ [التوبَة: 89]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Amewatayarishia Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama, mabustani ya Pepo ambayo inapita mito chini ya miti yake, hali ya kukaa humo milele. Huko ndiko kufaulu kukubwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek