×

Huko kila mtu atayajua aliyo yatanguliza. Na watarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, Mola 10:30 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yunus ⮕ (10:30) ayat 30 in Swahili

10:30 Surah Yunus ayat 30 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 30 - يُونس - Page - Juz 11

﴿هُنَالِكَ تَبۡلُواْ كُلُّ نَفۡسٖ مَّآ أَسۡلَفَتۡۚ وَرُدُّوٓاْ إِلَى ٱللَّهِ مَوۡلَىٰهُمُ ٱلۡحَقِّۖ وَضَلَّ عَنۡهُم مَّا كَانُواْ يَفۡتَرُونَ ﴾
[يُونس: 30]

Huko kila mtu atayajua aliyo yatanguliza. Na watarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, Mola wao wa Haki, na yote waliyo kuwa wakiyazua yatawapotea

❮ Previous Next ❯

ترجمة: هنالك تبلو كل نفس ما أسلفت وردوا إلى الله مولاهم الحق وضل, باللغة السواحيلية

﴿هنالك تبلو كل نفس ما أسلفت وردوا إلى الله مولاهم الحق وضل﴾ [يُونس: 30]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Katika kisimamo hiko cha kuhesabiwa, kila nafsi itazipekua na kuziona hali zake na matendo yake, na italipwa kulingana na hayo : yakiwa ni mema atalipwa mema na yakiwa ni maovu atalipwa maovu. Na wote watarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu Aliye Muamuzi Muadilifu. Hapo watu wa Peponi watatiwa Peponi, na watu wa Motoni watatiwa Motoni, na vitawaondokea washirikina vile ambavyo walikua wakiviabudu badala ya Mwenyezi Mungu kwa kumzulia Yeye urongo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek