Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 105 - هُود - Page - Juz 12
﴿يَوۡمَ يَأۡتِ لَا تَكَلَّمُ نَفۡسٌ إِلَّا بِإِذۡنِهِۦۚ فَمِنۡهُمۡ شَقِيّٞ وَسَعِيدٞ ﴾
[هُود: 105]
﴿يوم يأت لا تكلم نفس إلا بإذنه فمنهم شقي وسعيد﴾ [هُود: 105]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siku kitakapokuja Kiyama, hakuna nafsi itakayosema isipokuwa kwa idhini ya Mola Wake. Kati yao kuna shaqiyy (muovu) anayestahili adhabu na kuna sa'īd (mwema) aliyefadhiliwa kwa kupewa starehe |