Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 104 - هُود - Page - Juz 12
﴿وَمَا نُؤَخِّرُهُۥٓ إِلَّا لِأَجَلٖ مَّعۡدُودٖ ﴾
[هُود: 104]
﴿وما نؤخره إلا لأجل معدود﴾ [هُود: 104]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hatuicheleweshi Siku ya Kiyama isipokuwa ni ukome muda uliyohesabiwa uliyo kwenye elimu yetu, hauzidi wala haupungui na kipimo chetu tulichoupimia kwa hekima yetu |