×

Ama wale wa mashakani hao watakuwamo Motoni wakiyayayatika na kukoroma 11:106 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:106) ayat 106 in Swahili

11:106 Surah Hud ayat 106 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 106 - هُود - Page - Juz 12

﴿فَأَمَّا ٱلَّذِينَ شَقُواْ فَفِي ٱلنَّارِ لَهُمۡ فِيهَا زَفِيرٞ وَشَهِيقٌ ﴾
[هُود: 106]

Ama wale wa mashakani hao watakuwamo Motoni wakiyayayatika na kukoroma

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فأما الذين شقوا ففي النار لهم فيها زفير وشهيق, باللغة السواحيلية

﴿فأما الذين شقوا ففي النار لهم فيها زفير وشهيق﴾ [هُود: 106]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ama wale waliokuwa waovu ulimwenguni kwa kuharibika akida yao na uovu wa vitendo vyao, basi Moto utakuwa ndio mahali pao pa kutulia; humo watakuwa na kutoa pumzi kutoka kwenye vifua kwa nguvu na kurudisha kwa shida, na sauti mbili hizo ni mbaya zaidi zilizopita kiasi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek