Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 33 - هُود - Page - Juz 12
﴿قَالَ إِنَّمَا يَأۡتِيكُم بِهِ ٱللَّهُ إِن شَآءَ وَمَآ أَنتُم بِمُعۡجِزِينَ ﴾
[هُود: 33]
﴿قال إنما يأتيكم به الله إن شاء وما أنتم بمعجزين﴾ [هُود: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nūḥ, akasema kuwaambia watu wake, «Mwenyezi Mungu , Peke Yake, Ndiye Atakayewaletea nyinyi adhabu atakapo, na nyinyi si wenye kuiponyoka Akitaka kuwaadhibu, kwani Yeye, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake, hakuna chochote chenye kumlemea katika ardhi wala katika mbingu |