×

Na akawa anaunda jahazi, na kila wakipita wakuu wa kaumu yake wakimkejeli. 11:38 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:38) ayat 38 in Swahili

11:38 Surah Hud ayat 38 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 38 - هُود - Page - Juz 12

﴿وَيَصۡنَعُ ٱلۡفُلۡكَ وَكُلَّمَا مَرَّ عَلَيۡهِ مَلَأٞ مِّن قَوۡمِهِۦ سَخِرُواْ مِنۡهُۚ قَالَ إِن تَسۡخَرُواْ مِنَّا فَإِنَّا نَسۡخَرُ مِنكُمۡ كَمَا تَسۡخَرُونَ ﴾
[هُود: 38]

Na akawa anaunda jahazi, na kila wakipita wakuu wa kaumu yake wakimkejeli. Yeye akasema: Ikiwa nyinyi mnatukejeli na sisi tunakukejelini kama mnavyo tukejeli

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ويصنع الفلك وكلما مر عليه ملأ من قومه سخروا منه قال إن, باللغة السواحيلية

﴿ويصنع الفلك وكلما مر عليه ملأ من قومه سخروا منه قال إن﴾ [هُود: 38]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Nūḥ, akawa anatengeneza jahazi, na kila kundi la wakubwa wa watu wake likimpitia, humcheza shere. Nūḥ, aliwaambia, «Iwapo nyinyi mnatucheza shere leo, kwa ujinga wenu wa kutojua ukweli wa ahadi ya Mwenyezi Mungu, basi sisi tutawacheza shere nyinyi kesho wakati wa kuzama kama mnavyotucheza shere
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek