×

Nuhu akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Mimi najikinga kwako nisikuombe nisio na 11:47 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:47) ayat 47 in Swahili

11:47 Surah Hud ayat 47 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 47 - هُود - Page - Juz 12

﴿قَالَ رَبِّ إِنِّيٓ أَعُوذُ بِكَ أَنۡ أَسۡـَٔلَكَ مَا لَيۡسَ لِي بِهِۦ عِلۡمٞۖ وَإِلَّا تَغۡفِرۡ لِي وَتَرۡحَمۡنِيٓ أَكُن مِّنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ ﴾
[هُود: 47]

Nuhu akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Mimi najikinga kwako nisikuombe nisio na ujuzi nalo. Na kama hunisamehe na ukanirehemu, nitakuwa katika walio khasiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال رب إني أعوذ بك أن أسألك ما ليس لي به علم, باللغة السواحيلية

﴿قال رب إني أعوذ بك أن أسألك ما ليس لي به علم﴾ [هُود: 47]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Akasema Nūḥ, «Ewe Mola wangu, Mimi najihami kwako na nataka hifadhi kukuomba kitu nisokuwa na ujuzi nacho, na usiponisamehe dhambi zangu na ukanihurumia kwa rehema zako,nitakuwa ni miongoni mwa wale waliojinyima hadhi zao na wakaangamia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek