×

Wakasema: Ewe Hud! Hujatuletea dalili wazi. Wala sisi hatuiachi miungu yetu kwa 11:53 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:53) ayat 53 in Swahili

11:53 Surah Hud ayat 53 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 53 - هُود - Page - Juz 12

﴿قَالُواْ يَٰهُودُ مَا جِئۡتَنَا بِبَيِّنَةٖ وَمَا نَحۡنُ بِتَارِكِيٓ ءَالِهَتِنَا عَن قَوۡلِكَ وَمَا نَحۡنُ لَكَ بِمُؤۡمِنِينَ ﴾
[هُود: 53]

Wakasema: Ewe Hud! Hujatuletea dalili wazi. Wala sisi hatuiachi miungu yetu kwa kufuata kauli yako. Na wala sisi hatukuamini wewe

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قالوا ياهود ما جئتنا ببينة وما نحن بتاركي آلهتنا عن قولك وما, باللغة السواحيلية

﴿قالوا ياهود ما جئتنا ببينة وما نحن بتاركي آلهتنا عن قولك وما﴾ [هُود: 53]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wakasema, «Ewe Hūd, hukutujia na hoja zilizo wazi juu ya usahihi wa yale unayotuitia. Na sisi si wenye kuwaacha waungu wetu tunaowaabudu kwa sababu ya maneno yako. Na sisi si wenye kukuamini wewe katika hilo unalolidai
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek