×

(Akaambiwa): Ewe Ibrahim! Wachilia mbali haya! Kwa hakika amri ya Mola wako 11:76 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:76) ayat 76 in Swahili

11:76 Surah Hud ayat 76 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 76 - هُود - Page - Juz 12

﴿يَٰٓإِبۡرَٰهِيمُ أَعۡرِضۡ عَنۡ هَٰذَآۖ إِنَّهُۥ قَدۡ جَآءَ أَمۡرُ رَبِّكَۖ وَإِنَّهُمۡ ءَاتِيهِمۡ عَذَابٌ غَيۡرُ مَرۡدُودٖ ﴾
[هُود: 76]

(Akaambiwa): Ewe Ibrahim! Wachilia mbali haya! Kwa hakika amri ya Mola wako Mlezi imekwisha kuja, na hakika hao itawafikia adhabu isiyo rudi nyuma

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ياإبراهيم أعرض عن هذا إنه قد جاء أمر ربك وإنهم آتيهم عذاب, باللغة السواحيلية

﴿ياإبراهيم أعرض عن هذا إنه قد جاء أمر ربك وإنهم آتيهم عذاب﴾ [هُود: 76]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wajumbe wa Mwenyezi Mungu wakasema, «Ewe Ibrāhīm, uacha mjadala huu kuhusu mambo ya watu wa Lūṭ na kuwaombea huruma, kwani hakika ya mambo ni kwamba imithibiti juu yao adhabu na amri ya Mola wako aliyowapangia. Na wao, adhabu inayotoka Mwenyezi Mungu ni yenye kuwashukia, si yenye kuepushwa na wao wala kuzuiliwa..»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek