Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 75 - هُود - Page - Juz 12
﴿إِنَّ إِبۡرَٰهِيمَ لَحَلِيمٌ أَوَّٰهٞ مُّنِيبٞ ﴾
[هُود: 75]
﴿إن إبراهيم لحليم أواه منيب﴾ [هُود: 75]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Ibrāhīm ni mwingi wa uhalimu, hapendi uharakishaji wa adhabu, ni mwingi wa kunyenyekea kwa Mwenyezi Mungu na kumuomba, ni mwenye kutubia, anarejea kwa Mwenyezi Mungu katika mambo yake yote |