×

Akasema msemaji kati yao: Msimuuwe Yusuf. Lakini mtumbukizeni ndani ya kisima. Wasafiri 12:10 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:10) ayat 10 in Swahili

12:10 Surah Yusuf ayat 10 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 10 - يُوسُف - Page - Juz 12

﴿قَالَ قَآئِلٞ مِّنۡهُمۡ لَا تَقۡتُلُواْ يُوسُفَ وَأَلۡقُوهُ فِي غَيَٰبَتِ ٱلۡجُبِّ يَلۡتَقِطۡهُ بَعۡضُ ٱلسَّيَّارَةِ إِن كُنتُمۡ فَٰعِلِينَ ﴾
[يُوسُف: 10]

Akasema msemaji kati yao: Msimuuwe Yusuf. Lakini mtumbukizeni ndani ya kisima. Wasafiri watakuja mwokota; kama nyinyi mna sharti ya kufanya jambo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال قائل منهم لا تقتلوا يوسف وألقوه في غيابت الجب يلتقطه بعض, باللغة السواحيلية

﴿قال قائل منهم لا تقتلوا يوسف وألقوه في غيابت الجب يلتقطه بعض﴾ [يُوسُف: 10]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Akasema mwenye kusema, miongoni mwa ndugu za Yūsuf, «Msimuue Yūsuf, na mtupeni ndani ya kisima ataokotwa na wapita njia miongoni mwa wasafiri, na hapo mtapumzika na yeye; na hakuna haja ya nyinyi kumuua, iwapo muna azma ya kulifanya hilo mnalolisema
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek