×

Basi Mola wake Mlezi akamwitikia, na akamwondoshea vitimbi vyao. Hakika Yeye ni 12:34 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:34) ayat 34 in Swahili

12:34 Surah Yusuf ayat 34 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 34 - يُوسُف - Page - Juz 12

﴿فَٱسۡتَجَابَ لَهُۥ رَبُّهُۥ فَصَرَفَ عَنۡهُ كَيۡدَهُنَّۚ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلسَّمِيعُ ٱلۡعَلِيمُ ﴾
[يُوسُف: 34]

Basi Mola wake Mlezi akamwitikia, na akamwondoshea vitimbi vyao. Hakika Yeye ni Msikizi Mjuzi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فاستجاب له ربه فصرف عنه كيدهن إنه هو السميع العليم, باللغة السواحيلية

﴿فاستجاب له ربه فصرف عنه كيدهن إنه هو السميع العليم﴾ [يُوسُف: 34]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu Akamkubalia Yūsuf maombi yake, akamwepushia kile alichotaka mke wa Kiongozi na marafiki zake kutoka kwake cha kumuasi Mwenyezi Mungu. Mwenyezi mungu Ndiye Mwenye kuyasikia maombi ya Yūsuf na maombi ya kila mwenye kuomba kati ya waja Wake, Ndiye Mwenye kuyajua matakwa yake, haja zake na kile kinachomfaa, na pia haja za viumbe Vyake vyote na yale yanayowafaa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek