Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 35 - يُوسُف - Page - Juz 12
﴿ثُمَّ بَدَا لَهُم مِّنۢ بَعۡدِ مَا رَأَوُاْ ٱلۡأٓيَٰتِ لَيَسۡجُنُنَّهُۥ حَتَّىٰ حِينٖ ﴾
[يُوسُف: 35]
﴿ثم بدا لهم من بعد ما رأوا الآيات ليسجننه حتى حين﴾ [يُوسُف: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha ikamdhihirikia waziri na marafiki zake, baada ya kuziona dalili za kuwa Yūsuf hana hatia na amejiepusha na machafu, wamfunge mpaka muda fulani, mrefu au mfupi, ili kuzuia fedheha |